Wakenya wawakingia kifua Watanzania
Wavuvi zaidi ya 300 na wauzaji samaki katika eneo la Malindi nchini Kenya, wamesitisha biashara zao kulalamikia kunyanyaswa kwa wavuvi wa kigeni wanaotoka kisiwani Pemba nchini Tanzania ambao wanafanya shughuli zao eneo hilo