Lulu Diva ataja sifa za mwanaume anae muhitaji
Msanii ambaye kwa sasa anatamba na kibao chake kipya 'amezoea' amefunguka na kudai sifa pekee anazoziangalia pindi anapochagua mwanaume wa kuwa nae katika mahusiano yake ni lazima awe ana mjali yeye zaidi kuliko maisha yake.

