Hemedy ajutia wanawake
Msanii wa wa kizazi kipya anayesumbua na ngoma ya January To December' Hemedy PhD amekiri kujutia maisha yake ya nyuma ambayo yalikuwa ya kubadilisha wanawake kila siku na kuwaasa vijana wenzake wasiige huo mtindo wa maisha kwani una athari.