JPM atua kwa Mzee Kingunge Rais Dkt. John Magufuli amefika leo Hospitali ya Taifa Muhimbili kumjulia hali Mzee Kingunge Ngombale Mwiru aliyelazwa katika wodi ya Mwaisela. Read more about JPM atua kwa Mzee Kingunge