Wananchi wawakosesha ajira Askari wa China Maafisa wa polisi nchini Zambia wamefutilia mbali mpango wa kuwaajiri raia wanane wa Kichina kuwa polisi nchini humo ndani ya saa 24 baada ya kuzindua mpango huo kufuatia pingamizi kutoka kwa raia. Read more about Wananchi wawakosesha ajira Askari wa China