Uchafu Dodoma sasa mwiko Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge amesema Mji wa Dodoma hauna sababu ya kuwa mchafu tena baada ya kukamilika kwa ujenzi wa dampo la kisasa lenye uwezo wa kuhudumu kwa miaka mingi. Read more about Uchafu Dodoma sasa mwiko