Makamu wa Rais aitambua Zanzibar Heroes Makamu wa Rais wa pili wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameipongeza timu ya taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) ambayo imeshika nafasi ya pili kwenye michuano ya CECAFA 2017. Read more about Makamu wa Rais aitambua Zanzibar Heroes