Hili ndio shavu alilopewa Kinana na JPM Katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana leo ameteuliwa na Mwenyekiti wa Chama hicho, Rais John Pombe Magufuli kuendelea kuwa katika nafasi yake kwa kipindi kingine. Read more about Hili ndio shavu alilopewa Kinana na JPM