Messi anaipa jeuri Barcelona - Guardiola Kocha wa Manchester City Pep Guardiola amesema Lionel Messi ndio mtu anayeifanya Barcelona iwe timu yenye nafasi kubwa ya kutwaa Ligi ya mabingwa Ulaya msimu huu. Read more about Messi anaipa jeuri Barcelona - Guardiola