Dr. Shika asema ukweli kuhusu Babu Seya
Dr. Luis Shika amesema hamjui mwanamuziki Babu Seya na Papii Kocha ambao wametoka jela kwa msamaha wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli katika maadhimisho ya miaka 56 ya Uhuru wa Tanganyika.