Wakili ahukumiwa kwa kuchochea ubakaji

Mahakama mmoja nchini Misri imemhukumu kifungo cha miaka mitatu jela Wakili maarufu nchini humo kufuatia kauli yake ya kuhamasisha kubakwa wanawake wanaovaa nguo zisizositiri miili yao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS