Serikali yatoa agizo kuhusu dawa
Serikali kupitia kwa Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile imeviagiza vyombo vya usalama na Kamati za Afya za vijiji kuimarisha mifumo yote ya udhibiti wa upotevu wa dawa nchini.

