Mama Majaliwa awataka wazazi kuwekeza katika elimu

Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa amewaomba wazazi wa wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi wahakikishe wanatumia sehemu ya kipato chao katika kuwekeza kwenye elimu ya watoto wao ikiwa ndio njia pekee inayoweza kumsaidia mtoto katika kutimiza ndoto zake

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS