Kikwete amzika mchezaji Yanga
Rais Mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete leo amehudhuria mazishi ya mchezaji wa zamani wa Tanzania na klabu ya Yanga Athumani Juma 'Chama' kwenye makaburi ya Kisutu Dar es salaam.

