Zest awaomba Harmonize na Ibraah wamalize bifu lao
Pichani Zest Harmonize na Ibraah
Producer Zest sound killer amefunguka sababu za kutaka kuona video ya wimbo wa Wasanii harmonize na ibraahz Friendzone, Zest ameeleza hayo kwenye mahojiano na Friday Night Live