Wanawake wanajitoa kwa jamii-Samia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Siku ya Wanawake Duniani ni siku muhimu ya kutambua mchango mkubwa wa Wanawake katika mandeleo ya familia, jamii na Taifa kwa ujumla akisema kwa hapa nchini, maadhimisho ya mwaka huu yanaongozwa na kaulimbiu "

