Samatta akerwa na matokeo ya Stars Samatta amekiri licha ya kutopenda kushindwa lakini hajafurahishwa na matokeo ya kufungana 1-1 na Lesotho huku Stars ikiwa nyumbani mbele ya mashabiki na wapenzi wa soka wakiwatazama uwanjani. Read more about Samatta akerwa na matokeo ya Stars