Kifo cha Taarab Khadija akifichua Mkongwe wa muziki wa taarab, Bi. Khadija Omar Kopa amedai muziki wa wao unaonekana kama umepoteza ladha kwa sababu ya nyimbo zao kupigwa sana sehemu ya kuuza vilevi na kupotezewa katika vyombo vya habari. Read more about Kifo cha Taarab Khadija akifichua