Asilimia 61 Tanzania kuwa jangwa : Makamba

Waziri January Makamba

Takwimu zinaonyesha kwamba nchi ya Tanzania ipo hatarini kugeuka jangwa ambapo asilimia 61 ya maeneo ya nchi tayari yapo katika hatari zaidi ya ukame kutokana na ukataji miti hovyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS