Mashindano BBall Kings yaanza kunoga

Land Force imekuwa timu ya kwanza kutolewa katika michuano ya Sprite BBall Kings baada ya kuchapwa na Dream Chaser kwa 'point' 92-72 katika hatua ya mtoano, ambapo mchezo huo umepigwa katika uwanja wa Air wing, Ukonga Jijini Dar es Salaam mapema leo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS