VIDEO: Jay Moe amtetea muhindi

Jay Moe

Mkongwe ambaye bado anaonesha ubabe wake kwenye game Juma Mchopanga ' Jay Moe' amtetea aliyekuwa msambazaji wa albamu za muziki wa bongo 'Mamu' na kusema kuwa hakuwahi kuwanyonya wasanii kama jinsi watu wanavyodai bali wezi walimzidi ujanja.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS