AUDIO: Aslay atuhumiwa kuivunja Yamoto

Aslay Isihaka

Beka Flavour kutoka Yamoto Band ameweka wazi kwamba wimbo wa 'kidawa' wa msanii Aslay ndiyo chanzo kilichosababisha kusambaratika kwa kundi lao hadi kufikia msanii mmoja mmoja ndani ya kundi kuanza kutoa wimbo kwa kujitegemea.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS