Nimetishwa, sasa sikanyagi DSM - Mbunge

Mbunge wa Sumbawanga Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Aeshi Hilaly.

Mbunge wa Sumbawanga Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Aeshi Hilaly amefunguka na kusema alitishwa na mmoja wa kiongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam hivyo saizi yeye anaogopa kukanyaga mkoa huo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS