Wanafunzi watakiwa kuzingatia Michezo, Masomo Vijana nchini wametakiwa kujiingiza katika masomo ya michezo ili kuweza kujiweka katikia nafasi nzuri watakapomaliza shule ambapo watakuwa na nafasi nzuri ya kujiunga katika michezo. Read more about Wanafunzi watakiwa kuzingatia Michezo, Masomo