Temba ajivunia wazo la Academy

msanii wa kundi la TMK Wanaume Mh. Temba

Staa wa muziki kutoka kundi la TMK Wanaume, Mheshimiwa Temba ameweka wazi kuwa Mkubwa na Wanawe Academy ambayo imetoa vipaji vikubwa ikiwepo Yamoto Band, ni muunganiko wa mawazo yake pamoja na Meneja Mkubwa Fella.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS