Cpwaa asogeza mbele uzinduzi msanii wa muziki wa bongofleva nchini Tanzania Cpwaa Kutoka Brainstorm Music, staa wa muziki C Pwaa baada ya kimya cha miezi kadhaa amesema kuwa mpango wake wa kuachia rekodi mpya mwezi huu ameusogeza mbele mpaka mwezi ujao. Read more about Cpwaa asogeza mbele uzinduzi