Mashali kupambana na Dullah Mbabe March 15 Taifa Pambano la Raundi 10 litakalomkutanisha Bondia Thomas Mashali na Dulla Mbabe linatarajia kufanyika Machi 15 mwaka huu, Uwanja wa ndani wa Taifa jijini Dar es salaam. Read more about Mashali kupambana na Dullah Mbabe March 15 Taifa