Yanga yagoma kucheza dhidi ya JKT Ruvu
Klabu ya Yanga imesema, kutokana na Bodi ya Ligi kuu Tanzania bara kubadilisha ratiba bila kuwapa taarifa mapema, hawatacheza mechi hiyo dhidi ya JKT Ruvu ambayo badala ya kuchezwa hapo kesho itachezwa Machi 11 mwaka huu jijini Dar es salaam.