Saraha atua TZ kufanya kweli
Msanii wa miondoko ya bongofleva nchini mwanadada Saraha ambaye alikuwa nchini Sweden-Stockholm akiandaa kazi zake mpya za muziki hivi sasa ametua nchini Tanzania tayari kwa ajili ya shoo ya project yake mpya iliyobatizwa jina 'Come Together'.