CHAMAMATA watishia kugoma kusafirisha mizigo
CHAMA cha madereva wa Malori Tanzania (CHAMAMATA) kimetoa siku 90 kwa halmashauri ya wilaya ya Longido, kuwaboreshea mazingira mazuri madereva wanaopitisha mizigo, mpaka wa Namanga, ikiwemo ujenzi wa
choo, bafu na mahali pa kupumzikia, vinginevyo baada ya siku hizo watasitisha kutoa huduma za usafiri.