Rais Kikwete aongoza mamia kumuaga Komba
Rais Jakaya Kikwete leo amewaongoza viongozi wa serikali, viongozi wa kisiasa na mamia ya watanzania waliojitokeza kuuaga mwili wa aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi Kapteni John Komba katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Saalam.