Kriketi kujiandaa na T 20 Afrika kusini

Timu ya Taifa ya mchezo wa Kriketi inatarajia kufanya mchujo kwa ajili ya kupata timu kikosi kamili kitakachoshiriki michuano ya T- 20 Afrika inayotarajiwa kufanyika Afrika kusini Aprili mwaka huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS