TASAF kuwanufaisha zaidi ya watu milioni 3.
Mradi wa kupunguza umaskini awamu ya tatu unaotekelezwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF,na kufadhiliwa na mfuko wa OPEC,unalenga kuwanufaisha watu milioni 3.1 katika halmashauri 14 katika mikoa miwili ya Arusha na Njombe hapa nchini.