Volleyball Klabu Bingwa Mkoa yaahirishwa wiki hii

Chama cha Mpira wa Wavu Mkoa wa Dar es salaam DAREVA kimesema kutokana na mpangilio wa ratiba ya michuano ya klabu Bingwa Mkoa wa Dar es salaam iliyapangwa kufanyika kila mwishoni mwa wiki imeahirishwa kwa wiki hii.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS