Wanamgambo 7 wa Al Shabab wauawa nchini Somalia Serikali ilisema shambulio hilo lilianza kwa mlipuko wa bomu lililokuwa kwenye gari hilo, na kufuatiwa na kurushiana risasi na milipuko ambayo ilitanda katika jiji lote. Read more about Wanamgambo 7 wa Al Shabab wauawa nchini Somalia