Tanzania kushirikiana na Sweden katika nishati Mawaziri hao wamekubaliana kuanzisha mfumo wa mashauriano ya kisiasa na kiuchumi ili kuweka msingi imara wa ushirikiano wa kimkakati kwa maendeleo endelevu ya wananchi wa mataifa hayo mawili. Read more about Tanzania kushirikiana na Sweden katika nishati