Ripoti
Mzimu wa 1970 ulioiponza Yanga kutolewa robo fainali ya klabu bingwa Afrika na Asante Kotoko ya Ghana kwa kurusha shilingi, umejirudia tena mwaka huu na kutolewa na Al Ahly ya Misri kwa mikwaju ya penati. Said Bahanuzi akipoteza penati ya muhimu.
Ripoti
Mkufunzi wa mazoezi ya viungo ya kwenye maji, bi Amina Mfaume, amesema mazoezi hayo humsaidia mtu kupunguza msongo yaani 'stress'