Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa neno la faraja kwa Mjane wa baba wa taifa Mama Maria Nyerere (kulia). Kulia ni Mkewe Mary Majaliwa.
Msanii Stamina wakati anatambulishwa kwenye lebo yake mpya ya Akida OG