Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Busanda, Lolesia Bukwimba baada ya kuwasili kwenye Ofisi yaMkurugenzi wa Wilaya ya Chato
Katibu Mkuu wa Yanga Beno Njovu (kulia) akiongea na waandishi wa habari makao makuu ya klabu ya Yanga
Frank Domayo akisaini mkataba na klabu ya Azam