(DCI) Diwani Athumani. ambaye nafasi yake ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai imetenguliwa na Rais Dkt. Magufuli
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa Rais Magufuli ametengua uteuzi huo kuanzia leo.
Kufuatia kufuatia hali hiyo Diwani Athuumani atapangiwa kazi nyingine.
Aidha kufuatia uamuzi huo , uteuzi wa Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai utatangazwa baadaye.
