Jumatano , 17th Aug , 2022

Watu watatu wa familia moja, wakazi wa kitongoji cha Idoselo, Kijiji cha Kasesa Kata ya Kaseme wamefariki dunia baada ya kupigwa na radi iliyoambatana na mvua kali iliyonyesha jana Agosti 16, 2022, majira ya saa 5:00 asubuhi.

Radi

Wakizungimzia tukio hilo ndugu wa familia wanaelezea jinsi ambavyo mvua kali iliyoambatana na radi ilivyochukua uhai wa wanafamilia wenzao.

Tazama video hapa chini.