
Akitoa taarifa ya utekelezaji wa shughuli za Wakala wa Barabara Mijini na Vijijini (TARURA) kwa mwaka wa fedha 2022/2023 Mhandisi Victor Seif amesema mpango mkakati wa Tarura wa pili ifikapo 2025/26 asilimia 85 ya mtandao wa barabara za wilaya ziwe zinapitika kwa misimu yote na nyakati za mvua.
Kwa upande wake Msemaji wa Serikali GERSON MSIGWA amesema lengo la Serikali ni kuimarisha usafiri na usafirishaji kwa barabara bora