Alhamisi , 14th Oct , 2021

Ikiwa imetimia miaka 22 tangu kifo cha Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, wachezaji wa mchezo wa bao katika kijiji cha Tungamalenga mkoani Iringa leo Oktoba 14, 2021 wameadhimisha siku hiyo kwa kuwa na mashindano maalumu ya mchezo huo.

Wenyewe wanasema wamefanya hivyo wakiwa wanaamini inaongeza undugu na kuondoa dhana ya ukabila ambao hayati Nyerere aliupinga kwa nguvu zake zote.

Tazama Video hapo chini