
msanii wa miondoko ya bongofleva Julio Batali
Julio ambaye amewahi kuwa mshiriki wa shindano maarufu la maisha ya uhalisia nchini Afrika Kusini ameongea na enewz kuhusu maandalizi ya kufanya shooting ya video ya wimbo huo huku akielezea kuwa ana nyimbo si chini ya 60 ambazo zipo kabatini ambazo amefanya na maprodyuza tofauti huku tayari akiweka mpango wa tarehe ya kurelease video ya wimbo huo 'Tetemesha'.
