Alhamisi , 3rd Mar , 2022

Mchekeshaji Gladness Kifaluka maarufu kama 'Pili Kitimtim' ameweka wazi nia yake ya kutaka kuingia kwenye ndoa baada ya kuanza kutafuta mume kutoka mkoani.

Picha ya Pili Kitimtim

Kupitia Instagram yake Pili Kitimtima ameandika kwamba "Ni mkoa gani natakiwa kupata mume, Mume wangu anatakiwa atoke mkoa gani".

Unahisi ni mume wa mkoa gani atafaa kumuoa Pili?