
(Mlinzi wa Ujerumani Antonio Rudiger akijaribu kumzuia Bukayo Saka wa England)
Michezo mingine leo Finland watacheza na Montenegro,Bosnia & Herzegovina wakipambana na Romania,Faroe Islands dhidi ya Luxembourg huku Lithuania wakipambana na Uturuki huku michezo yote ikitarajiwa kuchezwa majira ya 21:45 usiku
Matokeo ya hapo jana mabingwa watetezi Ufaransa walibanwa na Croatia kwa kwenda sare ya bao 1-1 huku kiungo Andrio Rabiot akiwatanguliza les blues dakika ya 52 kabla Andrey Kramaric kusawazisha dakika ya 82 kwa mkwaju wa penalty