Jumatatu , 24th Jan , 2022

Baada ya kuwepo kwa taarifa zinazosambaa kuwa Shirikisho la soka nchini TFF imemfungulia mashtaka Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba SC Barbara Gonzalez mamlaka hiyo ya soka Nchini imesema haijamfungulia kesi kiongozi yoyote wa soka.

Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba SC Barbara Gonzalez

Taarifa ya TFF kwenda kwa Umma umeeleza kuwa haijafungua kesi Polisi dhidi ya kiongozi yeyote wa mpira wa miguu nchini.

Taarifa ya TFF