
Msanii Nandy
Akitoa taarifa hiyo kwenye 'Insta Story' yake ya mtandao wa Instagram Nandy ameandika kuwa
"Swali la Ukimwi pia muache kuniuliza otherwise unataka nikupunguzie kidogo na tuheshimiane, mnafanya hata wale wanaoumwa kweli wajione sio binaadam wa kawaida hofu ya Mungu itawale" amesema Nandy
Aidha Nandy ametoa taarifa nyingine ambayo inadhibitisha kuachana na Billnass ambapo anasema hataki kuulizwa kuhusu mahusiano tena na wampe muda wa miaka mitana tena.
Zaidi mtazame hapa chini kwenye video