
Muigizaji Robbie Coltrane
Taarifa za kifo chake zimetolewa leo Oktoba 14, 2022.
Muigizaji Robbie Coltrane, ambaye aliigiza kama Hagrid katika filamu za Harry Potter, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 72. Muigizaji huyo wa Uskoti pia aliigiza katika tamthilia ya upelelezi ya TV Cracker na filamu ya James Bond.
Muigizaji Robbie Coltrane
Taarifa za kifo chake zimetolewa leo Oktoba 14, 2022.