Bayern wababe wa kutoa vichapo vikubwa UCL

(Wachezaji wa Bayern Munchen wakishangilia goli)

Klabu ya Bayern Munich ya Ujerumani imeweka rekodi ya kupata ushindi wa mabao saba na zaidi mara saba katika michuano ya Ligi ya Mbingwa Barani Ulaya baada ya kuifunga RB Salzburg mabao 7-1 kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora ya michuano hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS